Ikiwa zimesalia siku tatu tu kuelekea mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, Klabu ya Yanga imepania ushindi katika mchezo wao dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Jumamosi, Mei 18, kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Baada ya kuonyesha ubabe kwa kuichapa Namungo FC mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu, Yanga SC imerejea mazoezini kwa nguvu mpya, ikilenga kuhakikisha inaibuka na ushindi dhidi ya JKT Tanzania na kutinga fainali ya tano mfululizo katika michuano hiyo.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amesema kikosi chao kipo tayari na kimejizatiti kuhakikisha kinapata matokeo mazuri kwenye mchezo huo wa nusu fainali.
"Tumejipanga kuhakikisha tunashinda dhidi ya JKT Tanzania. Tunataka kucheza fainali tena na hatutaki kufikiria matokeo mengine tofauti na ushindi," alisema Kamwe.
Mbali na maandalizi ya ndani ya uwanja, Yanga pia imeandaa mpango mahsusi kwa mashabiki wake kusafiri kuelekea Tanga kuisapoti timu yao. Kamwe alithibitisha kuwa hadi kufikia jana jioni, tayari wamepata mabasi 35 huku lengo likiwa ni kufikisha mabasi 50.
"Mpaka sasa tuna mabasi 35, lengo letu ni kwenda Tanga na msafara wa mabasi 50. Nawaalika mashabiki na wanachama wa Yanga kuungana nasi siku ya Jumamosi ambapo msafara utaondoka Makao Makuu ya Yanga saa 3 asubuhi," aliongeza.
Mashabiki wa Yanga wanatarajiwa kuujaza Uwanja wa Mkwakwani kwa wingi ili kuwapa hamasa wachezaji wao katika pambano hilo muhimu. Mchezo huo si tu wa kufuzu fainali, bali pia ni fursa kwa Yanga kuendeleza rekodi yao ya kuwa klabu yenye mafanikio makubwa katika michuano ya Kombe la CRDB.
Wananchi wanaonekana kuwa na kiu ya mafanikio na safari ya kuelekea Tanga imechukua sura ya kishujaa, kwa matumaini makubwa ya kurejea na ushindi
Usikose kuitazama mechi hii ya JKT TANZANIA VS YANGA, BERKANE VS SIMBA SC LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment