Siku hiyo siwezi kuisahau, kumkuta bosi wangu na mume wangu! Ilikuwa ni siku ya Jumamosi, majira ya saa mbili asubuhi, niliporudi nyumbani mapema kutoka sokoni baada ya kusahau mkoba wangu. Nilipoingia chumbani kwangu, sikutegemea kabisa kuona kile nilichokiona.
Mume wangu aliyekuwa ameniahidi uaminifu wa milele, alikuwa kitandani na bosi wangu wa kazi mwanamke ambaye nilimwamini sana, ambaye alikuwa kama dada yangu mkubwa.
Nilishtuka, nikakosa hata nguvu ya kuhema. Waliposhtuka kuniangalia, waliruka kitandani na kuanza kutoa visingizio visivyokuwa na kichwa wala miguu. Nilihisi kama dunia imeanguka juu yangu. Machozi yalinibubujika kwa uchungu na hasira. Niliwageukia na kusema kwa sauti ya chini lakini...SOMA ZAIDI
Post a Comment