Wanawake walikua wananikimbia, nilikua na mikosi mingi mno halafu nikayafanya haya

 Ukweli ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa.

Mathalani kuna mtu kila bishara anayofungua haiwezi kufikisha mwaka mmoja, mwingine kila gari analonunua lazima liibiwe, mwingine kila mtoto anayempeleka shule anafeli.

Au kuna familia unakuta mabinti wanazalia nyumbani tu bila kuolewa....Soma Zaidi

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post