Watu wengi wamekuwa wakisifia ndoa yangu na mume wangu, mahusiano yetu wamekuwa ni mfano wa kuigwa mbele ya jamii, mume wangu hajawahi kuwa na kashfa ya kutoka na mwanamke mwingine yoyote hapa mtaani kwetu.
Kutokana na utulivu wa mume wangu ndani ya ndoa, tumeweza kufanya mambo mengi ya kimaendeleo kama kufungua biashara, kuwa na zizi kubwa la mifugo huko kijini, kujenga nyumba yetu ya kuishi na nyingine tumepangisha, pia watoto wetu shule tunawalipia ada kwa wakati.
Baadhi ya wanawake wamekuwa na...SOMA ZAIDI
Post a Comment