Jamaa achukua uamuzi mgumu kisa mkewe kumsusia

 Jina langu Matata kutokea Arusha, baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na shughuli za kila siku, nilianza kupata wasiwasi kuhusu mwenendo wa tabia yake.

Nilijaribu kukaa naye chini kumuuliza kuhusu hilo na kuniambia hakuna chochote kilichobadilika kwake bali ni wivu wangu wa kimapenzi ndio unanitesa. Majibu yake sikuridhika nayo hata kidogo, tulivutana sana kuhusu jambo hilo hadi kufikia hatua ya kutaka...Soma Zaidi

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post