Mama mwenye nyumba kanitongoza, nishindwa nimjibu vipi!

 Katika haya maisha unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa ananitaka kimapenzi.

Jina langu ni Sam, kijana wa miaka 27 ambaye najishughulisha na ujasiriamali hapa jijini Dar es Salaam maeneo ya Kariakoo, kutokana na mazingira ya kazi yangu nimekuwa...Soma Zaidi

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post