Ligi Kuu NBC 2024/25 kuanza leo
Usikose kuitazama mechi ya VITALO FC vs YANGA kesho kutwa miachuano ya Caf champions league LIVE bure kupitia simu yako pia SIMBA vs TABORA UNITED download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure download sasa app yetu kuidownload bonyeza 👉🏻HAPA
Mikiki mikiki ya Ligi Kuu ya NBC 2024/25 inaanza kutimua vumbi leo ambapo mchezo mmoja unatarajiwa kupigwa
Pamba Fc iliyopanda daraja msimu uliopita, itafungua pazia kwa kuchuana na Tanzania Prisons katika mchezo utakaopigwa uwanja wa CCM Kirumba saaa 10 jioni
Mechi nyingine mbili zitapigwa kesho, Mashujaa wakichuana na Dodoma Jiji huku Namungo Fc wakiikabili Singida BS
Mabingwa watetezi wa michuano hiyo Yanga wao watasubiri mpaka August 29 kucheza mechi yao ya kwanza msimu huu dhidi ya Kagera Sugar mchezo ambao utapigwa uwanja wa Kaitaba
Yanga inakabiliwa na mechi mbili za hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Vital'o ya Burundi
Mchezo wa mkondo wa kwanza utapigwa kesho Jumamosi, August 17 katika uwanja wa Azam Complex na marudiano kupigwa August 24 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
No comments:
Post a Comment