USikose kuitazama mechi ya VITALO vs YANGA pia na SIMBA vs TABORA UNITED live bure kupitia simu yako download app yetu kuzitazama mechi zote bure pia ndani ya app yetu utaweza kutazama na mechi za ulaya live bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Ni rasmi, klabu ya Simba imetambulisha usajili wa mshambuliaji Lionel Ateba raia wa Cameroon
Ateba (25) ametua Simba akitokea klabu ya USM Alger ya Algeria
Ni mshambuliaji ambaye ni pendekezo la Kocha Fadlu Davies ambaye aliomba kuongezewa nguvu katika safu yake ya ushambuliaji
Simba imempa Ateba mkataba wa miaka miwili baada ya kufuzu vipimo vya afya
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment