Leo tunatambulisha mashine ya kazi - Ahmed - EDUSPORTSTZ

Latest

Leo tunatambulisha mashine ya kazi - Ahmed

Leo tunatambulisha mashine ya kazi - Ahmed


Michuano ya EURO 2024 inaendelea pia ligi mbali mbali karibu zinaanza usikose kuzitazama mechi hizi zote LIVE bure kupitia simu yako download app yetu kutazama chanel zote za Azam tv bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili download app yetu sasa kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

 Baada ya utambulisho wa winga Joshua Mutale hapo jana, leo Simba inaendelea na zoezi la kutambulisha wachezaji wapya

Saa 7 mchana kutakuwa na utambulisho wa mchezaji mwingine anayejiunga na familia ya Wanamsimbazi

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amesema wiki hii ni ya furaha kwa mashabiki wa Simba kwani mpaka kufika mwishoni mwa wiki watakuwa wamekifahamu kikosi chao

"Jana tumeshusha mashine ya kushambulia, leo kuna mashine ya kazi tunaenda kuitambulisha. Sasa ni bandika, bandua hivyo Wanasimba hawapaswi kukaa mbali na App ya klabu pamoja na kurasa zetu zote za mitandao ya kijamii," alisema Ahmed

Utambulisho wa leo utakuwa wa tatu baada ya Lameck Lawi na Joshua MutaleDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz