Yanga wasaka mbadala wa Metacha, watua kwa huyu..! - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga wasaka mbadala wa Metacha, watua kwa huyu..!

Khomeiny Aboubakar

Ni kesho michuoano ya UEFA EURO CHAMPIONS inaanza usikose kuzitazama mechi zote LIVE bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayoonesha mechi zote live bure pia kwenye app hii utaweza kuangalia muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv buree bofya sasa kudownload

Yanga imeanza mazungumzo na Singida Black Stars kwa ajili ya kumpata kipa wa timu hiyo, Khomeiny Aboubakar.

Yanga imeanza mazungumzo na Singida Black Stars kwa ajili ya kumpata kipa wa timu hiyo, Khomeiny Aboubakar. Khomeiny amekuwa na msimu mzuri na kikosi hicho, anatajwa kama mbadala wa Metacha Mnata anayeondoka baada ya kuhudumu kwa miezi sita ya mkopo na Yanga inamtaka iwapo itamkosa Yona Amos wa Prisons.

BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA UJIFUNZE MAUTUNDUDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz