Baada ya kimya kirefu msemaji wa Klabu ya Simba Ahmed Ally (Semaji), ameamua kuvunja ukimya, akiwaasa wanasimba kuwa makini na taarifa za mitandaoni.
"Wana Simba tuwe makini na taarifa za mitandaoni zenye lengo la kuzua taharuki ndani ya klabu yetu na kutugombanisha baina yetu"
"Muhimu hivi sasa ni kusimama pamoja na timu yetu na kuwapa ushirikiano viongozi wetu ili wasimamie kwa ufanisi zoezi la usajili na kuandaa timu bora kwa msimu ujao"
Post a Comment