Tetesi: Mtasingwa aomba kuvunja mkataba Azam FC - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi: Mtasingwa aomba kuvunja mkataba Azam FC

Tetesi: Mtasingwa aomba kuvunja mkataba Azam FC

Mechi za EURO 2024 zinaendelea leo pia mechi za kirafiki nyingi zinapigwa leo usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za Azam TV bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA kama utashindwa kudownload app jiunge na group letu la telegram upewe app kujiunga bonyeza HAPA

Adolf Mtasigwa

Kiungo kinda wa Azam FC, Adolf Mtasingwa ameomba kuvunja mkataba katika klabu yake hiyo yenye maskani yake Chamazi, Dar es Salaam.

Inelezwa kuwa, Adolf ameueleza uongozi wa Azam FC kuwa amepata timu nje ya nchi. Adolf amebakiza mkataba wa miezi sita (6) katika klabu hiyo.

Azam FC wanataka walipwe Tsh 790 million (USD $ 300,000) pesa ambayo ipo Kwenye mkataba wake (Release clause).

Inaelezwa kuwa Klabu ya Yanga iko nyuma ya dili hilo kwani imekuwa na malengo ya kumnyakua kijana huyo aliyepandishwa kutoka timu ya vijana ya Azam.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz