Tetesi: Samatta kukipiga na Ronaldo - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi: Samatta kukipiga na Ronaldo

Tetesi: Samatta kukipiga na Ronaldo

Mechi za EURO 2024 zinaendelea leo pia mechi za kirafiki nyingi zinapigwa leo usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za Azam TV bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA kama utashindwa kudownload app jiunge na group letu la telegram upewe app kujiunga bonyeza HAPA

Mbwana Samatta

Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika kutokea Ugiriki Klabu ya Al Kholood ya Saudi Arabia imetuma ofa katika Klabu ya PAOK ya Ugiriki kwa ajili ya kumpata nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta.

Samatta (31) bado ana Mkataba na PAOK hadi mwisho wa msimu wa 2024/2025, PAOK bado wanasita kufanya maamuzi hadi wajihakikishie kupata mbadala wake japokuwa ofa waliyowekewa mezani inatamanisha.

Al Kholood ni timu iliyopanda Ligi Kuu Saudi Arabia baada ya kumaliza nafasi ya tatu katika Ligi daraja la kwanza Saudi Arabia msimu uliomalizika hivyo wanajipanga kuhakikisha wanaleta ushindani wa kweli Ligi Kuu.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz