Taarifa Mpya kutoka Yanga Jioni hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kutoka Yanga Jioni hii

Taarifa Mpya kutoka Yanga Jioni hii

Jifunze mautundu ya kitandani angalia video za kikubwa bonyeza HAPA

 Ali kamwe: Mimi ni Mali ya Mashabiki wa Yanga

Wananchi wanasubiri kwa hamu taarifa kuhusu kikosi chao na mipango kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25

Kesho Jumatatu, Julai mosi ndio siku ambayo taarifa muhimu kuhusu usajili na mikakati ya msimu mpya zitawekwa hadharani

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema pamoja na kutangaza taarifa za usajili, wataweka hadharani mikakati kuhusu pre-season taarifa za awali zikibainisha Wananchi wanatarajiwa kusafiri nje ya nchi

Lakini pia, majibu kuhusu Wiki ya Mwananchi yanaweza kupatikana hapo kesho

Zimesalia takribani wiki tano tu msimu mpya kuanza na michuano ya Ngao ya Jamii itakayopigwa kuanzia August 09 ambapo Yanga itachuana na Simba katika mchezo wa nusu fainali

Yanga inaweza kuwa busy kwelikweli katika kipindi cha pre-season kwani Wananchi wamealikwa katika nchi mbalimbali kwa ajili ya kucheza mechi za kirafiki

Bila shaka Kocha Miguel Gamondi na vijana wake watakuwa na muda mzuri wa maandalizi kabla ya ufunguzi wa Ngao ya JamiiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz