Huyu hapa kocha Mpya wa Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Huyu hapa kocha Mpya wa Simba

Huyu hapa kocha Mpya wa Simba

Jifunze mautundu ya kitandani angalia video za kikubwa bonyeza HAPA

 Klabu ya Simba imemalizana na Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini kuwa Kocha Mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi akichukua mikoba ya Abdelhk Benchikha

Bodi ya Wakurugenzi ya Simba imemuidhinisha Fadlu ambaye ni Kocha Msaidizi wa Raja Casablanca kubeba mikoba iliyoachwa na Benchikha

Fadlu (43) amewahi kufundisha timu mbalimbali Afrika Kusini kama Orlando Pirates, Maritzburg na pia Kocha Msaidizi wa Loko Moscow ya Urusi na sasa Raja Casablanca

Akiwa Kocha Mkuu wa Pirates 2021/22 aliisadia timu hiyo kucheza fainali ya kombe la Shirikisho la CAF (CAF CC)

Wakati wowote Simba itaweka hadharani benchi la ufundi kwani huenda kesho timu ikaanza maandalizi ya pre-seasonDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz