Sporpesa yawapa Yanga SC Tsh milioni 537.5 kwa kutwaa Ubingwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Sporpesa yawapa Yanga SC Tsh milioni 537.5 kwa kutwaa Ubingwa

Yanga SC yapewa Tsh milioni 537.5 kwa kutwaa Ubingwa

Bonyeza hapa kudownload app itakayokuwezesha kutazama chanel za azam tv na dstv buree pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pamoja mechi zote live buree bofya sasa kudownload

Klabu ya Yanga leo imepewa Tsh milioni 537.5 na Mdhani wao wa Mkuu SportPesa kama sehemu ya zawadi (bonus) ya kufanya vizuri katika msimu wa 2023/2024.

Hundi hiyo imepokelewa na Rais wa Yanga Hersi Said kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa SportPesa Abbas Tarimba, hiyo ni kama motisha kwa Yanga ya kuhakikisha wanaendelea kufanya vizuri.

Yanga SC ndani ya msimu wa 2023/2024 wametwaa Ubingwa wa Ligi Kuu, Ubingwa wa CRDB Bank Federation Cup pamoja na kufika hatua ya robo fainali ya michuano ya CAF Champions League kwa mara ya kwanza baada ya miaka zaidi ya 20 kupita.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz