Azam watuma ofa kwa Mshery, Yanga watachomoa? - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam watuma ofa kwa Mshery, Yanga watachomoa?

Abou-Twalib Mshery

Bonyeza hapa kudownload app itakayokuwezesha kutazama chanel za azam tv na dstv buree pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pamoja mechi zote live buree bofya sasa kudownload

Azam FC imetuma ofa rasmi ya kuhitaji huduma ya Abou-Twalib Mshery kwenda kwa wakala wake George Job, ofa hiyo ikiwa imeshapokelewa na mazungumzo baina yao yameshaanza.

Nassib Mkobwa anaamini kuwa Mshery anahitaji nafasi zaidi ya kucheza ili apate nafasi ya kuwa Tanzania One.

Nassib Mkomwa aanathibitisha kuwa Mkataba wa Mshery unaisha mwishoni mwa mwezi huu.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz