Barbara kupishana na Kajula Msimbazi - EDUSPORTSTZ

Latest

Barbara kupishana na Kajula Msimbazi

Barbara Gonzalez

Bonyeza hapa kudownload app itakayokuwezesha kutazama chanel za azam tv na dstv buree pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pamoja mechi zote live buree bofya sasa kudownload

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya klabu ya Simba zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Barbara Gonzalez kurejea kwenye iliyokuwa nafasi yake kabla hajajiuzulu miaka miwili iliyopita.

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya klabu ya Simba zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Barbara Gonzalez kurejea kwenye iliyokuwa nafasi yake kabla hajajiuzulu miaka miwili iliyopita. CEO wa sasa Imani Kajula anatajwa kuomba kuondoka kwenye timu hiyo baada ya msimu kumalizika huku Rais wa heshima na mwekezaji wa klabu hiyo Mohammed Dewji akivutiwa zaidi kufanya kazi na Barbara.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz