Konkoni kuiburuza Yanga FIFA - EDUSPORTSTZ

Latest

Konkoni kuiburuza Yanga FIFA

Straika wa zamani wa Yanga Sc, Hafiz Konkoni

Leo kivumbi cha mataifa ya africa kufuzu kombe la dunia kinaendelea ambapo kenya, uganda, burundi zitashuka uwanjani na nyingine nyingi usikose kuzitazama mechi hizi zote live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app inayorusha mechi hizi live bure kabisa pia kwenye app hii kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za azam tv na dstv bofya sasa kuidownload uweze kufurahia chanel mbali mbali

Straika wa zamani wa Yanga Sc, Hafiz Konkoni amepeleka mashtaka yake ya madai dhidi ya Klabu ya Yanga Sc katika Makao Makuu ya Soka Duniani, FIFA.

Straika wa zamani wa Yanga Sc, Hafiz Konkoni amepeleka mashtaka yake ya madai dhidi ya Klabu ya Yanga Sc katika Makao Makuu ya Soka Duniani, FIFA. Konkoni anadai bado Klabu ya Yanga haijamaliza kumlipa madai yake tangu aachane na Miamba hiyo ya Jangwani.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz