Fei Toto: Ndoto yangu ni kucheza Al Ahly - EDUSPORTSTZ

Latest

Fei Toto: Ndoto yangu ni kucheza Al Ahly

Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum

Ni kesho ZAMBIA vs TANZANIA mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayoonesha mechi hii live bure kabisa pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv bure bofya sasa kuidownload

Kiungo Mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amesema ndoto yake ni kucheza soka la kulipwa katika Klabu ya Al Ahly ya Misri.

Fei amefunguka kuwa anavutiwa na Al Ahly kutokana na historia yake ya kuchukua makombe mbalimbali ndani na nje ya Misri.

Unalipi la kumshauri Feisal?

BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA ILI UJIFUNZE MAUTUNDUDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz