Hii hapa ratiba ya Ngao ya jamii msimu wa 2024/2025 - EDUSPORTSTZ

Latest

Hii hapa ratiba ya Ngao ya jamii msimu wa 2024/2025

Ratiba Michezo ya Ngao ya Jamii 2024 hadharani

Ni kesho ZAMBIA vs TANZANIA mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia usikose kuitazama mechi hii live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayoonesha mechi hii live bure kabisa pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv bure bofya sasa kuidownload

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani ratiba ya Ngao ya Jamii 2024/25

Michuano hiyo itakayoshirikisha timu nne inatarajiwa kuanza August 08 hadi August 11 2024

Kama kanuni zitafuata msimu uliopita, bingwa wa ligi Kuu atachuana na mshindi wa tatu wakati aliyeshika nafasi ya pili atachuana na wa nne

Yaani Yanga itachuana na Simba huku Azam Fc ikichuana na Coastal UnionDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz