BREAKING: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba" Try Again" atangaza kujiuzulu - EDUSPORTSTZ

Latest

BREAKING: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba" Try Again" atangaza kujiuzulu

Aliekuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah

Leo ndio leo ni ZAMBIA vs TANZANIA usikose kuitazama mechi hii live kabisa bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live buree pia ndani ya app hii kuna muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili na chanel za azam tv na Dstv bofya sasa kuidownload bure

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Muhene "Try Again" ametangaza kujiuzulu wadhifa huo katika Klabu ya Simba leo Juni 11, 2024.

Hatua hiyo inakuja siku chache baada ya wajumbe kadhaa kutangaza kuachia ngazi huku yeye ikisemekana kuwa amegoma kung'atuka madarakani.

Try Again amemuomba mwekezaji ndani ya Simba Mohammed Dewji kurejea na kuchukua wadhifa huo kwa ajili ya maendeleo ya Simba SC huku yeye akibaki kuwa Mwanachama wa kawaida.

Akizungumza Try again kupitia televisheni amesema;


“Kwa maslahi mapana ya Simba kwa kutambua mpira ni mchezo wa hisia, Mimi kama Mwenyekiti wa Bodi nimemwomba Mwekezaji wetu Mohamed Dewji MO arejee kama Mwenyekiti wa Bodi nami nitasalia kama Mwanachama na Kiongozi ambaye nipo tayari wakati wowote kuitumikia Simba, kwa maana hiyo natangaza kuondoka kwenye kiti”

BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA UJIFUNZE MAUTUNDU YA CHUMBANIDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz