"Kombe letu la Shirikisho tunalipendea" - Ahmed Ally - EDUSPORTSTZ

Latest

"Kombe letu la Shirikisho tunalipendea" - Ahmed Ally

Ahmed Ally.

Ni jumapili hii Yanga vs Azam fc fainali ya kombe la shirikisho unaanzaje kukosa kuitazama mechi hii live bureee bonyeza hapa kisha bofya picha yenye neno download app yetu ili kuangalia mechi hii live buree kabisa unakosaje kwa mfano bofya sasa

"Kombe letu la Shirikisho tunalipendea" Ahmed Ally ambaye ni afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii.

Ahmed ameyasema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Klabu ya Simba kudondokea katika Mashindano hayo ya pili kwa ukubwa Barani Afrika ikimaliza msimu wa 2023\24 kwa kuambulia nafasi ya tatu nyuma ya Azam Fc na Mabingwa Yanga Sc

Unaipa nafasi gani Simba katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu ujao?Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz