Yao ashindwa kufanya mazoezi ya mwisho Sauzi - EDUSPORTSTZ

Latest

Yao ashindwa kufanya mazoezi ya mwisho Sauzi

Yao ashindwa kufanya mazoezi ya mwisho Sauzi

Leo ndio kivumbi na Jasho kudadeki usikose kuitazama mechi ya Mamelodi vs Yanga live buree kabisa bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii buree kabisa bofya sasa kuidownload ili usipitwe

Beki wa kulia wa Yanga SC, Yao Kouassi raia wa Ivory Coast jana ameyatazama mazoezi ya mwisho ya timu hiyo akiwa jukwaani, huku yeye akishindwa kufanya mazoezi hayo.

Yanga SC leo itashuka dimbani kucheza dhidi ya Mamelodi Sundowns majira ya saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Kusini sawa na saa 3:00 kwa Tanzania.

Mambo machache aliyogusia Yao ni kuwa bado ana imani na wachezaji wenzake na leo watapata ushindi, lakini pia hajaridhishwa na nyasi za uwanja huo akidai sio salama kwa wachezaji.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz