Shaffih: Yanga wawashambulie Mamelodi wasiwaogope, Simba hatoboi - EDUSPORTSTZ

Latest

Shaffih: Yanga wawashambulie Mamelodi wasiwaogope, Simba hatoboi

Shaffih Dauda

Leo ndio kivumbi na Jasho kudadeki usikose kuitazama mechi ya Mamelodi vs Yanga live buree kabisa bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii buree kabisa bofya sasa kuidownload ili usipitwe

"Mimi nitakuwa tofauti kidogo, sioni Simba wakisonga mbele dhidi ya Al-Ahy Mchezo walipaswa kuumaliza kwa Mkapa. Al-Ahly waliwasoma Simba kuwa huwa wanautumia vizuri uwanja wa nyumbani wakaimaliza mechi.. Simba ni Watanzania wenzetu lakini ukweli mchingu ni huo"

"Wote tulikuwa Loftus Versveld, nimemuona Aucho na Pacome wana train na wana ari ya kupambana japo Pacome alikuwa ana train peke yake. Kwangu mimi naishauri Yanga isicheze kama walivyocheza Dar.. Approach ya Mchezo wa kwanza ilikuwa nzuri sana lakini hapa nyumbani kwao Mamelodi Sundowns hushambulia sana"

"Yanga wanaweza kupishana, ningemshauri kocha, Gamondi awashambulie Mamelodi, asikae nyuma kuwasubiri kwani wataleta mafuriko ya mashambulizi. Sidhani kama Mamelodi watashindwa kufunga goli, Yanga akishambulia pia anweza kupata goli.. Sare yoyote ya magoli Yanga anapita."

"Mechi ni ngumu lakini Mamelodi wananafasi kubwa ya kushinda. Kama nilivyosema awali Yanga hatuwadai, lengo lilikuwa makundi lakini wako robo fainali hawapaswi kuwaogopa Mamelodi, wawashambulie kwani hiyo quality wanayi, hawana cha kupoteza lolote laweza kutokea."


Shaffi Dauda Mchambuzi wa Clouds Fm Radio

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz