Yanga wafunguka kumuuza Max Nzengeli, Pacome! - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga wafunguka kumuuza Max Nzengeli, Pacome!

Yanga wafunguka kumuuza Max Nzengeli, Pacome!

Ni kesho Mamelodi vs Yanga bado unatafuta pakuangalia mechi hii live buree bonyeza hapa kudownload app itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live bureee kabisa ipakue mapema kuepuka usumbufu

Yanga SC wameeleza kuwa wapo tayari kumuuza Max Nzengeli pamoja na wachezaji wengine wowote wanaofanya vizuri endapo itatokea timu inawahitaji.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe ametoa kauli hiyo akiwa Afrika Kusini walipokwenda kuwavaa Mamelodi Sundowns katika mchezo wa pili ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa awali uliopigwa Benjamini Mkapa Stadium.

"Sisi hatuna hofu ya wachezaji wanaofanya vizuri kuondoka, tulimuuza Fiston Mayele akiwa mfungaji bora hivyo sisi hatuna shida. Wakitokea watu wanawahitaji wataweka mpunga tutaleta wachezaji wengine na maisha yataendelea kama kawaida," alisema Kamwe.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz