Mashabiki 250 kuwapa mzuka Simba dhidi ya Al Ahly Misri - VIDEO - EDUSPORTSTZ

Latest

Mashabiki 250 kuwapa mzuka Simba dhidi ya Al Ahly Misri - VIDEO

Mashabiki 250 kuwapa mzuka Simba dhidi ya Al Ahly Misri

Ni kesho Al ahly vs Simba bado unatafuta pakuangalia mechi hii live buree bonyeza hapa kudownload app itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live bureee kabisa ipakue mapema kuepuka usumbufu

Meneja wa Habari na Mawasiliano Klabu ya Simba Ahmed Ally amesema wachezaji wa timu hiyo watapata nguvu ya mashabiki kwenye mchezo wa robo fainali ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly mchezo utakaopigwa kesho nchini Misri.

Ahmed ameeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umefanya utaratibu wa kuwapata mashabiki 250 ambao wanaamini watakuwa chachu ya ushindi siku ya keshoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz