Wakala afunguka Che Malone kusepa Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Wakala afunguka Che Malone kusepa Simba

Wakala afunguka Che Malone kusepa Simba

Usikose kuitazama mechi ya Simba vs Singida Black stars live bure mechi ya ligi kuu tz bara bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii mubashara bure yaani utaitazama mechi hii live bure kupitia simu yako bofya sasa

Wakala wa Beki wa Klabu ya Simba, Che Malone, Amadou Fontem Tigana, amesema beki huyo hajasema kuwa haipendi Simba na wala hajasema kuwa anataka kuondoka Simba, bali watu wamemtafsiri vibaya mchezaji huyo.

Tigana ameyasema hayo wakati akizungumza na ITV kwa njia ya simu, ambapo amesisitiza kuwa taarifa hizo ni uzushi kwani ametafsiriwa vibaya baada ya kusema kuwa atacheza Kwa juhudi ili klabu kubwa kama Simba zimnunue.

Ufafanunuzi huo wa Tigana unafuata, baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa mchezaji huyo amefanya mahojiano kuwa hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao na kwamba tayari ameandika barua ya kuondoka Simba na kwamba anataka akatafute changamoto kwenye timu kubwa.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz