Nimemkuta mpenzi wangu gesti, cha ajabu kanishtaki!
Jina langu ni Adam kutokea Mwanza, Tanzania, nakumbuka baada ya kumaliza chuo mwaka 2020 nilianza kupambana na maisha mtaani, kiukweli nilipitia maisha na nyakati ngumu wakati ule.Kuna rafiki yangu mmoja yeye ni dereva Bodaboda akawa ananipa Bodaboda yake jioni kuanzia saa 10 mpaka saa 4 au 5 usiku kama daywaka maana yeye alikuwa anakesha.
Siku moja mida ya jioni nilikutana na abiria mmoja akaniomba nimpeleke sehemu ilikuwa ni nyumba ya wageni (guest house), basi bhana nikamfikisha eneo husika akaniomba pia baadae nimrudishe kwake.
Akachukua namba zangu na kweli baadae mida ya tano kasoro kani-call na mimi nikaenda mpaka pale guest lakini akanambia kwanza mpeleke mgeni wangu kabla kwao hawajaanza kuleta noma.
Cha kushangaza aliyekuwa katoka mle ndani alikuwa ni DEMU wangu (girlfriend wangu).
Aiseee niliishiwa nguvu na kwakuwa ilikuwa usiku hakunijua na hakutegemea kama ningekuwa pale hivyo alivyosogea alipigwa na butwaa mpaka hata yule jamaa akastuka lakini nikapiga moyo konde nikamwambia panda boda tusepe.
Kweli nikampeleka mpaka kwao na sikumsemesha wala kumuuliza chochote, nikawasha chombo nikarudi nikambeba na jamaa vile vile nikamrudisha kwake. Nikachukua hela yangu fresh.
Siku zikapita na mimi nikauchuna hakuna kumuuliza kitu wala mini kuhusu tukio lile, hata kila alipojitahidi kunichokonoa angalau nimuulize lakini nilichagua kukaa kimya na simtafuti wala nini.
Lakini akinitafuta naongea naye fresh tu kama hakuna jambo moyoni mwangu ila akiniuliza nasingizia sina SMS au salio la kumpigia.
Kumbe tukio lile lilikuwa linautesa sana moyo wake hasa alikuwa na shauku ya kutaka kujua nawaza nini kichwani mwangu kuhusu yeye, alikuwa anawaza nina mipango gani yeye? mbona simuulizi kitu?.
Baadae walishauriana na rafiki yake wakaenda kutoa report police kuwa natishia kumfanya kitu kibaya, na huyo rafiki yake akawa ndio kama shahidi.
Nilikamatwa na kuwekwa ndani kwa wiki nzima kwa kosa la kutishia kuua na baadaye nilifikishwa makakamani na kusomewa mashtaka.
Kama utani vile ile kesi ikaanza kunisotesha mahakamani, nilijikuta hadi kazi nashindwa kufanya na maisha yangu kuwa magumu sana kutokana nilikuwa siingizi fedha yoyote.
Wakati kesi imeanza kusikilizwa, ndugu yangu mmoja wa mbali alifika nyumbani baada ya kupata habari kuhusu sakata hilo, aliniambia kama kesi tayari imefika mahakamani, tunaweza kufanya jambo moja tu la ushindi!.
Nalo ni kuwasiliana na Kiwanga Doctors ili waweza kutufanyia dawa ya kuweza kushinda shauri hilo ambalo kwa hakika ulikuwa ni mtihani mkubwa kwangu maana sikuwa na fedha zozote zile.
Basi baada ya kuwaliana na Kiwanga Doctors waliweza kutupatia huduma hiyo ya kushinda kesi mahakamani na kutuhakikishia jambo hilo litamalizika vizuri tu upande wetu, hivyo tuendelee kuwa wavumilivu kuhusu sakata hilo.
Nashukuru baada ya miezi miwili mbele, hatimaye mahakama ilitoa uamuzi na mimi kuachiwa huru.
Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.
Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.
Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.
Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.
Mwisho.
No comments:
Post a Comment