Chama apewa zawadi ya kitimoto - EDUSPORTSTZ

Latest

Chama apewa zawadi ya kitimoto

Chama apewa zawadi ya kitimoto

Kudadeki ni Jumamosi hii Yanga vs Simba mechi ya kibabe mechi ya Kisasi usikose kuitazama mechi hii live bureee kupitia Simu yako bado unajiuliza utaitazama vipi au wapi bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live buree kabisa hakika ni mechi ya Kibabe bofya kudwownload mapema ili usipitwe

Shabiki wa Simba Simon Mkondya ambaye ni Mfanyabiashara na Mfugaji kutoka Jijini Dodoma ( 104.4), amemtaka Wachezaji wa Simba Clatous Chama na Kibu Dennis kwenda kuchukua zawadi ya Nguruwe shambani kwake ikiwa ni ahadi yake ya kutoa Nguruwe mmoja kwa kila goli Simba watakalofunga.

“Kibu Dennis na Chama tumeona tuwapatie Nguruwe mmoja mkubwa ambaye ana mimba, mwenye kilo 500 ambaye atazaa Watoto 21 mwezi wa sita wao watajua wanagawana vipi.

"Nguruwe anazaa kwa mwaka mara tatu ni sawa na Nguruwe 63 ambao wakiweza kuishi kwa muda wa miezi sita kila Nguruwe anauzwa shilingi milioni moja kwa maana ni kwamba watakwenda kupata zaidi ya milioni 63,” amesema Mkondya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz