Mlinzi wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Klabu ya Yanga.
Kwa mujibu wa taarifa Yanga haitamuongezea mkataba mwingine watamuacha aondoke, Joyce Lomalisa alishapanga mwishoni mwa msimu aondoke na kutimkia Afrika Kusini.
Unadhani Yanga wanapaswa kumuacha mlinzi huyo raia wa Congo kwa sasa? Tupe maoni yako
No comments:
Post a Comment