Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ametangaza viingilio vya mchezo wao dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Marchi 29, 2024 uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ametangaza viingilio vya mchezo wao dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Marchi 29, 2024 uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar. "Viingilio vya mchezo ni; Mzunguko - Tsh. 5,000 Machungwa - Tsh. 10,000 VIP C - Tsh. 20,000 VIP B - Tsh. 30,000 VIP A - Tsh. 40,000 Platinum - Tsh. 200,000 Tanzanite - Tsh. 250,000 Tunaamini viingilio hivi ni rafiki kwa kila Mwanasimba."- Ahmed Ally.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPAz
No comments:
Post a Comment