Klabu ya Simba kwa mara nyingine yarudi mawindoni kuiwania saini ya kiungo mshambuliaji wa AS Real Bamaco ya Mali Cheickna Diakite mwenye umri wa miaka 19.
Simba na Yanga zote kwa pamoja ziliwahi kutajwa kuhitaji saini ya kinda huyo lakini hakuna aliefanikiwa kumshusha bongo.
Kinda huyo ambaye pia anacheza timu za taifa za vijana za Mali aliwahi kuja Tanzania akiwa na Real Bamaco na kuwasumbua sana mabeki wa Yanga walipokutana kwenye mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika.
Je mnyama atampata Kinda huyo?
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPAz
No comments:
Post a Comment