Ratiba ya Mechi nne za Yanga zinazofuata - EDUSPORTSTZ

Latest

Ratiba ya Mechi nne za Yanga zinazofuata

 Mechi ya nafasi kwa Yanga

Wakati droo ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika ikitarajiwa kufanyika wiki ijayo March 13 huko Misri, mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wanarejesha makali yao kwenye ligi kuu


Ijumaa March 08 Yanga itakuwa mkoani Lindi kumenyana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC, mzunguuko wa 17

Namungo vs Yanga Usikose kuitazama live bure kupitia simu yako mechi hii bonyeza hapa kudownload app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii Bure kabisa kupitia simu yako yaani mb za mia Tano unamaliza mechi download sasa

Ni awamu ya pili ya lala salama, Yanga ikisaka ubingwa wa tatu mfululizo ambao utakuwa ubingwa wa 30

Baada ya mchezo huo, Yanga itarejea jijini Dar es salaam ambapo itacheza mechi tatu katika uwanja wa Azam Complex

March 11 wataumana na Ihefu Fc, March 14 wataumana na Geita Gold kabla ya kuikabili Azam Fc katika mchezo utakaopigwa March 17

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

Yanga inaweza kumaliza ndoto za Azam Fc kutwaa ubingwa msimu huu kama itaibuka na alama zote tatu katika mchezo huo

Kikosi cha Yanga kinarejea mazoezini Avic Town leo kuendelea na maandalizi baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wikiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz