Taarifa Mpya kuhusu Aziz Ki ni kuhusu Mashindano ya Caf - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kuhusu Aziz Ki ni kuhusu Mashindano ya Caf

 Robo fainali si habari tena, njia ya nusu ni hii

Stephane Aziz Ki amepachika bao moja katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu lakini ndio mchezaji aliyetengeneza nafasi nyingi zaidi za wazi katika mechi za hatua ya makundi

USikose kuitazama mechi ya Yanga vs Namungo live bure kupitia simu yako Bonyeza hapa kudownload app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live bure pia ukiwa na app hii utatazama muvi zilizo tafsiriwa Kwa kiswahili bure bonyeza sasa

Akiwa na assist mbili, Aziz Ki pia alitengeneza nafasi nyingine kubwa mbili za mabao ambazo hazikutumika


Saiffedine Bohra wa Wydad na Clatous Chama wa Simba ndio wanaofuatia wakitengeneza nafasi kubwa tatu

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

Bohra ana assist mbili wakati Chama ana assist moja pekee


Wananchi wana matumaini makubwa kuwa moto huu walioonyesha katika hatua ya makundi, utaendelea huko kwenye mtoano Yanga ikitarajiwa kuchuana na Mamelodi Sundowns, Petro Atletico au Asec MimosasDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz