USAJILI: Simba wanamtaka mwamba huyu dirisha kubwa - EDUSPORTSTZ

Latest

USAJILI: Simba wanamtaka mwamba huyu dirisha kubwa

 Simba wanamtaka mwamba huyu

USikose kuitazama mechi ya Asec vs Simba Live Bure bofya hapa Kudownload app yetu Ili uweze kuzitazama sasa

Tetesi zinaeleza kuwa viongozi wa Simba SC wanpanga kufanya jaribio la kumsajili mshambuliaji wa Al Ittihad Alexandria Club ya nchini Misri, Agostinho Cristóvão Paciência maarufu kama Mabululu.

Jaribio hilo linatarajiwa kufanyika dirisha kubwa la usajili mwaka huu Kwa ajili ya kuboresha safu ya ushambuliaji ya timu hiyo na kuhakikisha wanakuwa imara sana.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 31 ni moja kati ya wachezaji walioisaidia timu ya taifa ya Angola 'swala weusi' kufanya vyema kwenye michuano ya AFCON iliyofanyika mwanzoni mwaka huu pale Ivory Coast.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz