Waziri Mwigulu kama Pacome, Apost picha akiwa ameweka breach

 Waziri Mwigulu kama Pacome

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameachia picha kupitia ukurasa wake wa #Instagram zikimuonesha akiwa ameji-editi kwa kuweka breach kichwani akijiandaa na ‘Pacome Day’ mchezo unaotarajiwa kuchezwa siku ya kesho Februari 24 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Yanga vs Cr Belouizdad Usikose kuitazama Live mechi hii kupitia simu yako bure download app yetu bofya hapa Ili uweze kuzitazama kupitia app yetu

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameachia picha kupitia ukurasa wake wa #Instagram zikimuonesha akiwa ameji-editi kwa kuweka breach kichwani akijiandaa na ‘Pacome Day’ mchezo unaotarajiwa kuchezwa siku ya kesho Februari 24 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Yanga atakuwa kibaruani katika michuano ya ‘klabu’ bingwa Africa ambapo watakipiga dhidi ya #CRBelouizdad, ambapo ‘timu’ hiyo ya #Yanga imeeita siku hiyo ‘Pacome Day’ huku mashabiki na wadau wa mpira wa miguu wakiweka breach kama mchezaji huyo. .

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post