Pitso ashinda kesi FIFA, kulipwa Bilioni 2 - EDUSPORTSTZ

Latest

Pitso ashinda kesi FIFA, kulipwa Bilioni 2

Pitso Mosimane

USikose kuitazama mechi ya Simba vs Jwaneng Galaxy live bure kupitia simu yako download app yetu Kwa KUBOFYA hapa Ili usipitwe na mechi hii

Aliyekuwa kocha wa Mamelod Sundowns, Al Ahly ambaye alitimkia kufundisha Uarabuni Pitso Mosimane ameshinda kesi aliyoifungua kwenye mahakama ya usuluhishi wa michezo CAS dhidi ya klabu ya Al Ahli Jeddah ya Saudi Arabia ambayo aliisaidia kupanda daraja kabla hawajaachana naye msimu jana.

Aliyekuwa kocha wa Mamelod Sundowns, Al Ahly ambaye alitimkia kufundisha Uarabuni Pitso Mosimane ameshinda kesi aliyoifungua kwenye mahakama ya usuluhishi wa michezo CAS dhidi ya klabu ya Al Ahli Jeddah ya Saudi Arabia ambayo aliisaidia kupanda daraja kabla hawajaachana naye msimu jana. Baada ya maamuzi kutoka, Klabu hiyo italazimika kumlipa Pitso zaidi ya Rand 22 milioni ambazo ni karibu Bilioni 3 kwa shilingi ya Tanzania.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz