Yanga huenda akakutana na miamba hawa robo fainali - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga huenda akakutana na miamba hawa robo fainali

 Yanga huenda akakutana na miamba hawa robo fainali

USikose kuitazama mechi ya Al ahly vs Yanga live bure kupitia simu yako download app yetu Sasa kwa kubofya hapa Ili usipitwe na mechi hii

Mpaka sasa katika Klabu Bingwa Afrika ni timu mbili tu (2) ambazo zinasubiriwa kufuzu ili ziungane na 6 zilizotangulia ili kukamilisha idadi ya timu 8 kukamilisha hatua ya robo fainali.

Mpaka sasa bado timu (2) hazijafuzu robo fainali CAF-CL kukamilisha timu nane (8).

Kundi (A)

1. Alama 10 — TP Mazembe ☑️

2. Alama 10 — Mamelodi ☑️

3. Alama 04 — Nouadhibou

4. Alama 04 — Pyramids

Kundi (B)

1. Alama 11 — ASEC Mimosas ☑️

2. Alama 06 — Simba SC

3. Alama 06 — Wydad Athletic

4. Alama 04 — Jwaneng Galaxy

Kundi (C)

1. Alama 09 — Petro Atletico ☑️

2. Alama 08 — Esperance

3. Alama 05 — Al-Hilal

4. Alama 04 — Etoile du Sahel

Kundi (D)

1. Alama 09 — Al-Ahly ☑️

2. Alama 08 — Young Africans ☑️

3. Alama 05 — CR Belouizdad

4. Alama 04 — Medeama

Timu zilizofuzu mpaka sasa;

1. Young Africans SC

2. TP Mazembe

3. Mamelodi Sundowns

4. ASEC Mimosas

5. Petro Atletico

6. Al-Ahly Cairo

7. ________

8. ________

Kama msimamo wa makundi ukibaki kama ulivyo Yanga SC watakutana na moja ya timu hizi hatua ya Robo fainali CAF-CL.

TP Mazembe

ASEC Mimosas


Petro Atletico

Yanga wanaongoza kwa idadi ya mabao ligi kuu Tanzania, lakini pia mpaka sasa wanaongoza kwa mabao ya kufunga kwenye group stage CAF-CL katika magroup yote.

Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa idadi kubwa ya mabao Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa na mabao 9 na ndio timu pekee iliyofikisha idadi hiyo ya mabao katika hatua ya makundi.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz