Hali ya Maxi Nzengeli baada ya kuumia mkono - EDUSPORTSTZ

Latest

Hali ya Maxi Nzengeli baada ya kuumia mkono

 Hali ya Maxi Nzengeli baada ya kuumia mkono

Nyota wa kikosi cha Yanga SC, Maxi Nzengeli anaendelea vizuri baada ya juzi Jumamosi kupata majeraha kwenye kiganja cha mkono.

USikose kuitazama mechi ya Al ahly vs Yanga na Simba vs Jwaneng Galaxy live bure kupitia simu yako download app yetu mapema Ili kuzitazama mechi zote live bure Bofya hapa Sasa kuidownload

Maxi alipata majeraha hayo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouizdad uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Katika mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa magoli 4-0 na kufuzu robo fainali ya michuano hiyo, Maxi alilazimika kutolewa kutokana na maumivu hayo, nafasi yake ikachukuliwa na Augustine Okrah.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz