USAJILI: Yanga wanamtaka kinda huyu - EDUSPORTSTZ

Latest

USAJILI: Yanga wanamtaka kinda huyu

 Mohamed Sidi El Abd Ahmed.

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Yanga sc imewasilisha ombi rasmi kwa mchezaji wa kimataifa wa Mauritania, Mohamed Sidi El Abd Ahmed anayemudu kucheza kama kiungo mkabaji na beki wa kati.


Kinda huyo nyota wa Mauritania mwenye umri wa miaka 22, pia alikuwemo kwenye orodha ya skauti wa Simba ingawa hakusajiliwa msimu huu kwani klabu hiyo ilimpendelea kumsajili Che Malone.


Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa, Yanga wamewasilisha rasmi dau la $35,000 kwa ???????? FC Nouadhibou na wanajisikia raha kukamilisha dili hili haraka.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz