Haya hapa Makundi Kombe la Shirikisho Afrika - EDUSPORTSTZ

Latest

Haya hapa Makundi Kombe la Shirikisho Afrika

Caf Confederation Cup Trophy

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Wale wababe wa Yanga na Singida Big Stars katika Kombe la Shirikisho Afrika USM Alger, Future wamepangwa kundi A kwenye mashindano hayo yatakayotimua vumbi Novemba 26 pamoja na Super Sport Unied na Al Hilal ya Libya.

Kundi B ni; Zamalek SC, Sagrada Esperanca ya Angola, Abu Salim ya Libya na S.O.A.R ya Gunie.

Kundi C ni; Rivers United ya Nigeria, Club Africain ya Tunisia, Dreams FC, na APC Lubito ya Angola,

Huku kundi D inaongozwa na mabingwa mara mbili Kombe la Shirikisho Afrika RS Berkane, Diables Noirs ya Congo, Stade Malien ya Mali na Sekhukhune United za Afrika Kusini. 
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz