Tetesi: Simba kuachana na Saido - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi: Simba kuachana na Saido

Tetesi: Simba kuachana na Saido

 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba, Saidi Ntibazonkiza anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo Simba haifikirii kumuongezea mkataba.


Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinasema kuwa uongozi wa timu hiyo na wawakilishi wa Saidi Ntibazonkiza haijafikia makubaliano ya kumuongeza mkataba, inatajwa kuwa Wekundu wa Msimbazi watamuachia Mchezaji kuondoka ila wataangalia mustakabali wake dirisha lijalo la usajili.


Kuna taarifa za chini chini kuwa Simba inaonekana haina mpango wa kuendelea kupata huduma ya Saidi Ntibazonkiza kwa muda mrefu zaidi, inatajwa Wekundu wa Msimbazi wataachana na mchezaji huyo mwishoni mwa msimu huu.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz