Takwimu zaibeba Yanga dhidi ya SImba kuelekea Dabi ya Kariakoo - EDUSPORTSTZ

Latest

Takwimu zaibeba Yanga dhidi ya SImba kuelekea Dabi ya Kariakoo

Takwimu zaibeba Yanga dhidi ya SImba kuelekea Dabi ya Kariakoo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mchezo wa dabi ya Kariakoo kati ya watani wa jadi kwenye soka la Tanzania, Simba vs Yanga utakaopigwa Jumapili ijayo, Oktoba 5, 2023 katika Dimba la Mkapa majira ya saa 11:00 jioni.


Hizi hapa takwimu zote za Simba Sc na Yanga Fc kwenye Dabi ya Kariakoo;


Simba ----------------------- Yanga


108 ........... Michezo ............ 108


32 ........... Kushinda ............. 39


37 ............. Draw ............... 37


39 ........... Kupoteza ............ 32


138 ..... Magoli ya kufunga ........ 151


151 ...... Magoli ya kufungwa ...... 138


33 ......... Cleansheets ............ 44


22 ....... Makombe Ligi Kuu ......... 29


MECHI ZA MWISHO KUANZIA MWAKA 2018


◎ Simba 0 - 0 Yanga (NBC) ›› 18


◎ Yanga 0 - 1 Simba (NBC) ›› 19


◎ Simba 2 - 2 Yanga (NBC) ›› 20


◉ Simba 0 - 1 Yanga (NBC) ›› 20


◎ Yanga 1 - 1 Simba (NBC) ›› 20


◉ Simba 0 - 1 Yanga (NBC) ›› 21


◉ Yanga 0 (4) - (3) 0 Simba (MP) ›› 21


◎ Simba 1 - 0 Yanga (FA) ›› 21


◉ Simba 0 - 1 Yanga ›› 21


◎ Simba 0 - 0 Yanga (NBC) ›› 21


◎ Yanga 0 - 0 Simba (NBC) ›› 22


◉ Yanga 1 - 0 Simba (FA) ››22


◉ Yanga 2 - 1 Simba ›› 22


◎ Yanga 1 - 1 Simba (NBC) ›› 23


◎ Simba 2 - 0 Yanga (NBC) ›› 23


◎ Yanga (1) 0 - 0 (3) Simba ›› 23


Yanga - Kushinda Mara — 6


Simba SC- Kushinda Mara — 4


Sare - 6.


Msimu huu Simba na Yanga wamekutana mara moja kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambapo timu hizo zilitoa sare ya bila kufungana lakini mechi hiyo iliamriwa kwa mikwaju ya penati ambapo Simba ilishinda.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz