TETESI: Adebayor kutua Simba Januari - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI: Adebayor kutua Simba Januari

 Kiungo Mshambuliaji,Victorien Adebayor

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kiungo Mshambuliaji,Victorien Adebayor amemalizana na Klabu ya Simba na atakuepo dirisha dogo baada ya jina lake kuingizwa kwenye system ya Usajili.


Simba walimfukuzia nyota huyo misimu miwili iliyopita lakini walimkosa baada ya kuzidiwa ujanja na RS Berkane ya Morocco.


Ndani ya Berkane Adebayor hakuwa na wakati mzuri na muda mwingi aliwekwa benchi.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz