Mangungu: Tutashughulika na wanaofanya Propaganda juu yetu - EDUSPORTSTZ

Latest

Mangungu: Tutashughulika na wanaofanya Propaganda juu yetu

 Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kuelekea mchezo wa ufunguzi wa wa African Football League Klabu ya Simba kupitia kwa Mwenyekiti wake Murtaza Mangungu amesema watashughulika na wale wote wanaofanya propaganda kwenye mitandao kuhusu klabu yao.


Klabu ya Simba imefanya uzinduzi wa jezi zake mpya watakazozitumia katika michezo ya AFL Juma hili lakini maneno yamekuwa ni mengi juu ya Jezi hizo kuwa hazikuwa na ulazima.


Klabu ya Simba itacheza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya Al Ahly katika uwanja wa Taifa October 20 mwaka huu.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz