Yanga vs Azam fc yarudishwa Azam complex, hii hapa ratiba ya mechi 5 za Yanga zijazo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga vs Azam fc yarudishwa Azam complex, hii hapa ratiba ya mechi 5 za Yanga zijazo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Kulingana na maboresho ya ratiba, mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Azam sasa utapigwa uwanja wa Azam Complex, Oktoba 22, 2023


Ratiba ya awali ilionyesha kuwa mchezo huo ungepigwa uwanja wa Benjamin Mkapa ambao unaanza kutumika Oktoba 20 kwenye mechi za AFL


Aidha ndani ya siku 13 Yanga inatarajiwa kucheza mechi tatu dhidi ya Azam Fc, Singida BS na Simba


Baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, mchezo utakaofuata ni dhidi ya Singida BS nao ukitarajiwa kupigwa Oktoba 26 katika uwanja huohuo wa Azam Complex


Mchezo dhidi ya Simba utapigwa Novemba 05 katika uwanja wa Benjamin Mkapa


Novemba 08 Yanga itasafiri mkoani Tanga kuikabili Coastal UnionDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz