Uwanja wa Mkapa waendelea kufanyiwa ukarabati - EDUSPORTSTZ

Latest

Uwanja wa Mkapa waendelea kufanyiwa ukarabati

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu leo amefanya ziara Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kujionea ukarabati wa uwanja huo ambao utatumika kwenye ufunguzi wa michuano ya African Football League (AFL) Oktoba 20, 2023


Simba itaiwakilisha Tanzania katika michuano hiyo ambayo inafanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika ikihusisha timu nane


Simba itacheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Al Ahly ya MisriDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz