Serengeti Girls yaichapa Morocco Chamazi - EDUSPORTSTZ

Latest

Serengeti Girls yaichapa Morocco Chamazi

  Serengeti Girls yaichapa Morocco Chamazi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Morocco katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.


Timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Morocco katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Serengeti Girls yamefungwa na Masika Khing na Sabina Alex, wakati la Morocco limefungwa na Bentahri Ovafaa na timu hizo zitarudiana Jumatatu hapo hapo Azam Complex.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz