Ligi Kuu Zanzibar kuanza kutimua vumbi leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Ligi Kuu Zanzibar kuanza kutimua vumbi leo

 Ligi Kuu Zanzibar kipyenga kupulizwa leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kivumbi cha Ligi Kuu Zanzibar kinaanza kutimka rasmi leo hii katika kiwanja cha Mao Zedong majira ya Saa kumi jioni.


Ngome FC waliopanda Ligi Kuu Zanzibar msimu kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake itavaana na Wenyeji wa Ligi hiyo Zimamoto.


Ngome inataka kuendeleza moto waliotoka nao Ligi Daraja la kwanza, lakini Zimamoto nao wanataka kujitutumua baada ya msimu miwili iliyopita kutokuwa bora kwao.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz